YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Tuesday 12 March 2013

Image of Ahmadinejad consoling Chavez’s mother angers Iranian clerics

Mahmoud Ahmadinejad comforts the mother of Hugo Chavez. (Miraflores Press Office/AP)
Iranian president Mahmoud Ahmadinejad is under fire from the country's clerics over a photo of him consoling the mother of Hugo Chavez at the late Venezuelan leader's funeral—physical contact that's considered a sin under Iran's strict Islamic codes.
The photo, released by Venezuela's Miraflores Press Office, shows Elena Frías' right hand clutching Ahmadinejad's left, her head against his, as they stand near the flag-draped coffin of her son at a military academy in Caracas, Venezuela, on Friday.
The image drew the immediate fury of Tehran's religious conservatives. “No unrelated women can be touched unless she is drowning at sea or needs medical treatment," Hojat al-Islam Hossein Ibrahimi, a cleric at the Society of Militant Clergy, said, according to Iran's Al-Monitor.
Some of Ahmadinejad's supporters insisted the image was fake, digitally altered from a different photo showing the Iranian leader embracing an older man. But as The New York Times noted, the man-hug image was quickly debunked as a Photoshop job:
A side-by-side comparison produced by Entekhab showed that this image had been created by lifting the head of Mohamed ElBaradei, the former chief of the United Nations nuclear agency, from a previously published photograph of him greeting another Iranian official with a kiss in 2007.
Video of Ahmadinejad's embrace of Frías also surfaced, seeming to prove the original image's authenticity.

PICHA ZA AHMADINEJAD AKIMPA POLE MAMA WA MAREHEMU HUGO CHAVEZI

Image of Ahmadinejad consoling Chavez’s mother angers Iranian clerics

Mahmoud Ahmadinejad comforts the mother of Hugo Chavez. (Miraflores Press Office/AP)
Irnan president Mahmoud Ahmadinejad is under fire frm the country's clerics over a photo of him consoling the mother of Hugo Chavez at the late Venezuelan leader's funeral—physical contact that's considered a sin under Iran's strict Islamic codes.
The photo, released by Venezuela's Miraflores Press Office, shows Elena Frías' right hand clutching Ahmadinejad's left, her head against his, as they stand near the flag-draped coffin of her son at a military academy in Caracas, Venezuela, on Friday.
The image drew the immediate fury of Tehran's religious conservatives. “No unrelated women can be touched unless she is drowning at sea or needs medical treatment," Hojat al-Islam Hossein Ibrahimi, a cleric at the Society of Militant Clergy, said, according to Iran's Al-Monitor.
Some of Ahmadinejad's supporters insisted the image was fake, digitally altered from a different photo showing the Iranian leader embracing an older man. But as The New York Times noted, the man-hug image was quickly debunked as a Photoshop job:
A side-by-side comparison produced by Entekhab showed that this image had been created by lifting the head of Mohamed ElBaradei, the former chief of the United Nations nuclear agency, from a previously published photograph of him greeting another Iranian official with a kiss in 2007.
Video of Ahmadinejad's embrace of Frías also surfaced, seeming to prove the original image's authenticity.

HUYU NDIO MTOTO WA MIAKA NANE ALIYEOA 'BIBI' WA MIAKA 61

Huyu ndiyo mtoto wa miaka 8 kutoka Afrika Kusini ambaye ameoa mwanamke mwenye umri wa miaka 61 kwa kile ambacho kimeelezwa kuwa ni kutimiza maagizo ya wazee wake ambao wamekwishatangulia mbele za haki.
Sanele Masilela na mkewe Helen Shabangu
Sanele akimpiga busu mkewe Helen
Wanandoa katika picha ya pamoja

Shamrashamra za Harusi
Bibi akimchum mumewe

Ndoa ikifungwa

 Familia ya mtoto huyu imelipa mahari ya dola 774.85 sawa na shilingi 1,257,969/- za kitanzania.

Kijana huyu ambaye amefahamika kwa jina la Sanele Masilela amemuoa Helen Shabangu ambaye tayari yupo ndani ya ndoa nyingine na ana watoto watano.

Mtoto huyu pamoja na familia yake wamefikia maamuzi haya baada ya kuogopa kupatwa na balaa kwa kutokutimiza masharti ya 'waliotangulia'.

LUNCH YA DIOMOND NA FAMILIA YAKE AKIWA HOME SWEET HOME:

Das Platnumz Baby

Esma khan na Mariam wakiandaa makulaji

Diamond's Family ikiwa kwenye Meza
hapa nikivuta vitu karibu na Mwanangu Anzoo Mafia Mnyama
ahahahhaah askwambie mtu kula pamoja na familia ni raha sana.... 

wit my Luvly mum n ma bway Baby Boy from SOUTH AFRICA

Das my Luvly Sister Esma Khan
hahahahahahahhah crazy eeh?

TID APEWA KICHAPO KIKALI NA MTANGAZAJI WA SHINDANO LA BIBI BOMBA CLOUDS TV

Mwanamuziki nyota wa Bongo flava ambaye kwa sasa amejikita kwenye muziki wa dansi, Khalid Mohammed ‘TID’, wiki iliyopita alionja joto ya jiwe baada ya kudundwa hadi kutolewa nundu puani na mtangazaji wa Clouds TV, Cedou Ayoub a.k.a Babuu.

Tukio hilo la aina yake lililotokea wiki iliyopita kwenye kiota cha burudani Bongo pale Club Maisha na kushuhudiwa na watu kibao ambapo chanzo chake kikidaiwa ni kudaiana hela

Chanzo chetu kilimwaga umbea kuwa, siku ya tukio hilo TID alikuwa amealikwa kwenye uzinduzi wa albamu ya mwanamuziki Country Boy iliyokuwa inafanyika mjengoni humo, ambapo baada ya onesho hilo kuisha ndipo TID akiwa ‘mitungi’ alimfuata Babuu na kuanza ‘kumzingua’

Hata hivyo, chanzo chetu kiliendelea kueleza kuwa, baada ya walinzi wa ukumbi huo kuona hali tete ya uvunjifu wa amani waliwasihi watu hao kutoka nje kabisa ya ukumbi, huku mtangazaji huyo akiwaomba walinzi hao wawaache wapimane ubavu kidogo na walipotoka nje wakaachiwa ‘ulingo’ ndipo ngumi zilianza kupigwa.

Habari zaidi toka eneo la tukio zilisema kuwa: “Watu waliwazunguka huku wakishangilia kwa muda wa dakika tano ngumi zinapigwa ndipo maabaunsa wakawaamua, lakini, tayari TID alikuwa ameshatolewa manundu kadhaa puani.”

Aidha, kwa upande wa Babuu, alipotafutwa kupitia simu yake ya kiganjani, iliita bila kupokelewa. 

Hata hivyo, watu wa karibu na Babuu walilieleza kuwa, kufuatia TID kuchezea mkong’oto huo, kumezuka ‘bifu’ kubwa na kuna wasiwasi wa kutekana kwa mastaa hao hivyo huku Mkurugenzi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba akitakiwa kuingilia kati suala hilo ili kuepusha balaa.

HUYU NDIO BIBI MWAFRIKA JASIRI ALIEKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA ALIZOFICHA KICHWANI

.
Giwa Ayoka Sikirat ni bibi mwenye umri wa miaka 53 ambae amekamatwa na kikosi maalum cha kuzuia dawa za kulevya huko Nigeria akiwa amezificha dawa za kulevya kwenye nywele kichwani na kuzifunika.
Alikamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abuja akiwa anaelekea Pakistan kwa kupitia Addis Ababa na Dubai ambapo pia aliemsindikiza Uwanja wa ndege amekamatwa, ni Joseph mwenye umri wa miaka 59.
Bibi huyo ambae anaonekana jasiri, imefahamika alishawahi kuhudhuria shule ya Fashion na maswala ya nywele huko Lagos mwaka 1994.

Sunday 10 March 2013

HILI NDIO JUMBA LA OFISI MPYA YA MTANGAZAJI JANET TALAWA, PRODUCTION HOUSE YA SHOW ZAKE ZA TV.

0
Huyu ni sehemu ya Team ya Janet.
Huyu ni sehemu ya Team ya Janet.
Mtangazaji Janet Talawa ni mmoja kati ya mahodari kwenye kitabu cha wasoma habari wa TV Tanzania, wengi tulianza kumuona kupitia ITV lakini kwa sasa ni mtangazaji wa kujitegemea ambae anaanda show na kuipeleka kwenye TV.
Show yake ya Ongea na Janet inayouzika kupitia CLOUDS TV imetimiza mwaka mmoja march 8 2013, ni show ambayo alifikia kukata tamaa lakini hakukubali kushindwa.
Sasa hivi hiyo show ambayo inaonekana kwenye nchi nane za Africa zikiwemo Uganda, Kenya na Burundi kupitia Africa Magic Swahili ya DSTV.
Upande mwingine wa jumba la production.
Upande mwingine wa jumba la production ambalo litakua linarekodi show za Janet pamoja na nyingine za nje, series pamoja na kazi nyingine mbalimbali.
Jumba lenyewe la production.
Jumba lenyewe la production.
.
.
Team kamili.
Team kamili.
Hawa ndio watangazaji wapya wawili kwenye vipindi viwili vipya vilivyozaliwa baada ya mafanikio ya Ongea na Janet, wa kwanza kushoto ni mtangazaji Nasri Amani na Ritha Chuwalo wa WAPO RADIO ambae atakua mtangazaji kwenye show ya pili.

Moja kati ya Camera za kisasa zinazomilikiwa na kutumika kwenye hii production house.
Moja kati ya Camera za kisasa zinazomilikiwa na kutumika kwenye hii production house.
.
Baada ya mwaka mmoja wa kazi ngumu, sasa hivi show ya Ongea na Janet imedhaminiwa na Airtel.
.