Saturday 18 May 2013
Mtoto aliyepigwa mapanga na baba yake juzi, afariki dunia
Mtoto Devotha Gerald (4) aliyepigwa mapanga na baba yake, polisi mstaafu Samson Bwire Amefariki dunia baada ya jitihada za madaktari kuokoa maisha yake kushindikana.
Mtuhumiwa wa tendo hilo ambaye naye alipigwa vibaya na wananchi wenye hasira yuko mikononi mwa jeshi la polisi.
Tendo hili lilitokea mkoani Shinyanga. Kama haukuona habari hiyo ya kusikitisha, ya kushambuliwa mtoto huyo, iliyotokea juzi usiku,
KAMA ULIIKOSA HABARI HIYO BOFYA HAPA CHINI
MFANYABIASHARA AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI JIJINI DAR ES SALAAM
Mfanyabiashara wa jijini Dar es salaam anayejulikana kwa jina la Ayoub Mlay ameuwawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo katika klabu ya AMBROSIA CLUB iliyoko Kunduchi jijini Dar es salaam.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kinondoni Charles Kenyela ameithibitishia Fullshangweblog kwa njia ya simu, kutokea kwa tukio hilo , huku akisema uchunguzi zaidi unaendelea kujua chanzo cha kupigwa risasi kwa mfanya biashara huyo
Kamanda Kenyela ameongeza kwamba watu hao walikuwa wakinywa ndipo mojawapo alipochukua bastola yake na kumpiga mwezake Ayoub Mlayambaye alifariki usiku wa kuamkia leo
Rais kikwete akutana na Askofu mkuu wa Canterbury mjini Dodoma
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Portal Welby katika ukumbi wa St.Gaspar mjini Dodoma leo(picha na Freddy Maro). Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Portal Welby muda mfupi baada ya kufanya naye mazungumzo katika ukumbi wa St.Gaspar mjini Dodoma.Askofu huyo alishiriki katika ibada ya kutawazwa kwa askofu mkuu mpya wa Kanisa la Anglikana nchini Tanzania Dkt.Jacob Erasto Chimeledya.
Posted 27 minutes ago by kimasa peter
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA, AIBU NYINGINE:PICHA ZA USHENZI ZA WASANII WA KOMEDI ZAFUJA,WAZAZI WAJA JUU KWA UDHALILISHAJI WA WATOTO WAO:
Mmoa wa wasichana hao aliyejitambulisha kwa jina la Happy akiwa na kingua cha aibu kabla ya kukivua kabisa.
Hapa tayari akiwa amechojoa nguo
Hapa Master Face akiwa na Happy kama anavyoonekana huku wakitomasana
Hapa Happy na Master Face na Happy wakiwa wamedata kwa mahaba.Ilikuwa ni aibu mbele ya watu
Haya Master Face umepewa "mgongo" huo kazi kwako habati hiyooooooooo kakaangu!
Hapa Happy akiwa na msanii mwingine wa kundi hilo Manaiki Sanga kama anavyoonekana kwenye picha.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua picha zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja ya huko Kigamboni zimezusha balaa kubwa mtaani huku familia za wasichana hao zilikija juu.
Picha hizo ambazo blog hii ilizinasa kwa gharama kubwa toka kwa mmoja wa wafanyakazi wa fukwe ya Chadibwa zilikopigwa bila kundi hilo kutambua kama walikuwa wanafotolewa picha hizo.
Habari zaidi zilisema kuwa picha tangu zimewekwa kwenye blog hii zimeanza kusambaa hadi kuwafikia wanafamilia ambao wamekuja juu huku wengine wakitaka kuchukuwa hatua za kuwashtaki wasanii hao kwa udharirishaji wa watoto wao.
Mwandishi wetu ilimtafuta kiongozi wa kundi hilo Mtanga ili kuzungumzia ambapo alipatikana na kueleza kwa ufupi " Kaka hali ya Mungu mimi sijaiona hizo picha hivyo nashindwa kueleza chochote,Isipokuwa kama kuna malalamiko yoyote toka kwa wanafamilia hao wafike ofisini kwetu tuweke sawa" Alisema Mtanga
Subscribe to:
Posts (Atom)