YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday 9 June 2013

KATIKA UKUMBI WA MUSOMA CLUB NA HATIMAYE MREMBO ESHE RAMADHANI KUIBUKA MSHINDI HUKU AMINA RAJABU AKISHIKA NAFASI YA PILI NA MARIAM JOSEPH AKISHIKA NAFASI YA TATU

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA JANA KATIKA SHINDANO LA KUMTAFUTA REDD'S MISS MARA 2013 










JK AENDA KUMFARIJI MALKIA WA MIPASHO ( KHADIJA KOPA ) BAADA YA KUFIWA NA MUMEWE





Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.

Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM, Hadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita 

Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi na (kulia) ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa CCM, Ridhwani Kikwete.

AJALI MBAYA YATOKEA KIBAMBA MCHANA HUU NA KUJERUHI MADEREVA WOTE WAWILI


Gari dogo aina ya toyota double cabin ikiwa imepinduka vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 maeneo ya kibamba muda huu.Mpaka tunaenda mitamboni haijafahamika kama kuna mtu amepoteza maisha
Hili ndio gari ndogo aina ya toyota double cabin iliyopinduka na kuumia vibaya baada ya kugongana na gari aina ya Rav 4 maeneo ya Kibamba muda huu
Hii ndio Rav 4 iliyogongana uso kwa uso na gari iliyopinduka muda huu maeneo ya kibamba na kujeruhi dereva wa Double cabin na Rav 4
Askari wa Usalama Barabara akisimamisha magari yaliyokuwa yakipita kwaajili ya tahadhari

M2 The P – Sijui ni nini kilichotutokea

Picha ya marehemu M2 the P na Ngwair, waliyopiga usiku wa dhahama
Picha ya M2 the P na Marehem Ngwair, waliyopiga usiku wa dhahama
Msanii ‘M2 the P’ ambaye alikuwa na marehemu Albert “Ngwair” Mangweha nchini Afrika Kusini wakati rapper huyo anafariki na yeye kuzidiwa hadi kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi, afunguka kuhusu yaliyowakuta yeye na marehemu Ngwea

‘M2 the P’ ambaye awali naye aliripotiwa kuwa amefariki kabla ya taarifa hizo kukanushwa, alisema jana kuwa hadi sasa hajui nini kiliwatokea.

Msanii huyo alisema kwamba hakumbuki kilichotokea hadi wakazidiwa na kukimbizwa hospitali wakiwa hawajitambui. Alisema pia bado anajisikia anaumwa hadi sasa licha ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya St. Hellen Joseph ya Afrika Kusini alikokuwa amelazwa. 

DAKTARI ASAHAU PAMBA TUMBONI KWA MAMA ALIYEJIFUNGUA KWA UPASUAJI:MKASA MZIMA HUU HAPA:

Sunday, 9 June 2013



 


Msichana mmoja kutoka kaunti ya bungoma sasa anataka hatua zichukuliwe dhidi ya daktari mmoja kwa kuhatarisha maisha yake. Maureen Khaemba alifika hospitali kuu ya bungoma kujifungua, lakini baada ya upasuaji, daktari alisahau pamba tumboni mwake....hali ambayo imemsababishia maumivu chungu zima. Beatrice Maganga na taarifa hiyo

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013 RED CARPERT, CHEKI WATU WALIVYOTEKELEZEA


 Salma Msangi
 Zahir Zoro
 Baba Jonii Adam Mchomvu :READ MORE HAPO CHINI
 Stamina
 Izzo Biznes
 Walter Chilambo
 Quick Racka
 Ben Pol
 Asia Idarius na Mumewe
 Makomando
 Kala Jeremiah
 Deo & Aneth Kushaba
 Luiza
 Lady Haha & Shadee
B12 & Dakota 
 Papa Misifa
 Anna Pita
 Sauda Mwilima
 Barnaba 
Mama mzazi wa marehemu Sharo Milionea n Kitale
 Man Water
 Jaq
 Mboni Masimba "The Mboni Show"
 Hamidu & Dulla
 Da Week End Show Team
 Mustafa & Deo
Perfect & Mwana Fa
 Nickson & Bonge la Nyau
Dulla