YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Monday 16 December 2013

NEY WA MITEGO AAMUA KUACHIA PICHA ZA DEMU WAKE MTANDAONI..!! TAZAMA HAPA UMUONE..!!

Ney wa mitego aliamua kuziachia picha za mpenzi wake tandaoni kupitia akaunt yake ya instagram..!! tazama picha hapo chini

ALIYEKUWA MWENYEKITI CCM WA MKOA WA MWANZA NA DIWANI WA KATA YA KISESA, MHE. CLEMENT MABINA AUWAWA NA WANANCHI KWA MAWE

 Mwili wa Aliyekuwa Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya Kisesa, Mhe. Clement Mabina baada ya kushambuliwa 
Mwili wa Aliyekuwa Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya Kisesa, Mhe. Clement Mabina baada ya kufikishwa hospitali ya rufaa Bungando.
Aliyekuwa Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya Kisesa, Mhe. Clement Mabina enzi za uhai wake
---
 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya Kisesa, Mhe. Clement Mabina  ameuwawa na wananchi wenye hasira kwa kupigwa na mawe na silaha za jadi mwendo wa saa saba mchana.

Imeelezwa kuwa sababu ya kumwuua Mabina inatokana na ugomvi wa ardhi ambapo kesi ya eneo hilo ilikuwa ikiendelea mahakamani, lakini mchana wa leo, marehemu Mabina alionekana akipanda miti na kuweka mawe ya msingi katika eneo lenye ugomvi na wananchi walipomhoji kuhusu kibali cha mahakama cha kufanya hivyo, inaripotiwa kuwa aliwatolea lugha chafu na kuwatisha kwa bunduki ambapo alifyatua risasi.

Inaripotiwa kuwa risasi moja ilimuua mwananchi na alipoishiwa risasi, wananchi walimvamia kwa silaha mbalimbali ikiwemo mawe na mapanga hadi kumsababishia mauti.

KUFURU YA PESA..!! MALIKIA WA NYUKI APANDA NDEGE YA WATU 150 PEKEYAKE NA KUKAA DAR KWA SIKU 1...!!

Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi 'Malkia wa Nyuki'.
MLEZI wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa kwenye ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba watu 150, lakini yeye akiwa ndiye abiria pekee ndani ya ndege hiyo.
Rahma, maarufu kama Malkia wa Nyuki, ametua na ndege hiyo aina ya Airbus 320 inayomilikiwa na Serikali ya Oman na anaitumia yeye kupitia cheo chake cha Balozi wa Heshima wa Oman nchini Morocco.
  Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 17, kati ya hao 16 ni wafanyakazi ndani ya ndege ambao ni daktari mmoja, walinzi wanne, waliobaki ni marubani na wahudumu.
Akizungumza dakika chache kabla ya kuondoka nchini jana, saa 10 alfajiri, Malkia wa Nyuki alisema alishuka nchini kwa ajili ya mapumziko ya siku moja, pia kuzungumza na baadhi ya viongozi wa Simba.
  “Nimepita tu, tumepumzika kidogo hapa na baada ya hapo ninakwenda Comoro kwa ajili ya kuzungumza na kumchukua Rais wa Comoro.
“Lakini wakati wa mapumziko, nimepata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya viongozi wa Simba kuhusiana na mwenendo wa timu kwa hivi sasa.
 
“Kwa sasa namaliza majukumu yangu kikazi halafu nitarudi tena safari nyingine nchini kwa ajili ya kuendelea na mazungumzo na viongozi wenzangu wa Simba ili tujue tunaweza kufanya nini kuendelea kurekebisha mambo,” alisema.
Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Malkia wa Nyuki alisindikizwa na mwanaye Fatma, maarufu kama Nyuki Mtoto na watu wengine wawili.
Baada tu ya yeye kupanda ngazi za ndege hiyo, walinzi na wafanyakazi waliokuwa nje ya ndege hiyo nao waliingia na ikaanza safari kwenda Comoro.

TAZAMA PICHA 25 JIINSI JOHN CENA ALIVYOCHEZEA KICHAPO KITAKATIFU TOKA KWA RANDY ORTON:

KAMA WEWE BADO HUJAJIUNGA NASI, UNAWEZA KUJIUNGA HAPA MOJA KWA MOJA ONLINE <<<BOFYA HAPA NA LIKE PAGE YETU>> : 

RANDY ORTON AMESHINDA MIKANDA MIWILI YA WWE BAADA YA KUMSHINDA JOHN CENA KWENYE Tables, Ladders & Chairs Match,AMBAPO JOHN CENA ALISHINDWA KUTETEA TAJI LAKE MOJA LA WWE HIVYO KUPELEKEA RANDY KUNYAKUA MATAJI YOTE MAWILI YA UZITO WAJUU NA KUWEKA HISTORIA.