YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Tuesday 25 March 2014

MAGAZETI YA LEO JUMATANO MARCH 26, 2014

i

.
.
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

SIKILIZA MAGAZETI YA LEO ONLINE

radIOOTumia hizi dakika 15 kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo na hapa yanasomwa na kuchambuliwa na Gerald Hando kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast.
87.9 Clouds Fm inasikika ukiwa Moshi.
Bonyeza play kusikiliza.

MKUU WA MKOA WA MARA MHE JOHN TUPA AFARIKI DUNIA WILAYANI TARIME




Mkuu wa mkoa wa Mara Mhe. John Gabriel Tupa 

(pichani, enzi za uhai wake) amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Tarime.  
Habari zilizothibitishwa zinasema Marehemu Tupa alianguka na kupoteza fahamu akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe. John Henjewele,  alikokuwa akipokea taarifa kabla ya kufunga mafunzo ya mgambo wilayani humo.


Mara baada ya kuanguka juhudi za haraka zilifanyika za kumkimbiza hospitali ya Wilaya ya Tarime ambako alitangazwa kuwa ameshafariki mara alipofikishwa hapo.
Mwili wa Marehemu umepelekwa hospitali ya Mkoa wa Mara ili kuhifadhiwa wakati taratibu za m,aziko zikiandaliwa.
Tutaendelea kuwapasha kinachoendelea kwa kadri taarifa zitavyokuwa zikitufikia

TAHADHALI PICHA ZINATISHA) MAUAJI YA KUTISHA JIJINI DAR, WABANIKWA KAMA NDAFU






KUMRADH kwa picha mbaya na za kutisha. 
ILI KUJUA BALAA LILILOWAKUTA VIJANA HAWA JIJINI DAR. 
CRDT: XDEEJAYZ TANZANIA

Monday 24 March 2014

MAGAZETI YA LEO JUMATATU MARCH 24, 2014

i

.
.
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.