YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday 29 October 2014

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO TAREHE 30, October 2014

.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Image00045
.
.
.
.
.
.
.
.
Image00005
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

MASTAA WANAOGOMBEA UBUNGE JIMBO MOJA VYAMA TOFAUTI


Bunge NaijaTaarifa kuhusiana na mastaa mbali mbali ikiwemo wa muziki, filamu, na michezo kuingia katika headline zinazowangumzia kujihusisha na siasa sio taarifa ngeni kuzisikia, ambapo kwa sasa mastaa wa movie wanaingia kwenye headline nyingine ya wao kwa wao kugombea nafasi ya ubunge kwenye jimbo moja kupitia vyama tofauti.
Mastaa wa filamu kutoka Nigeria Bob Manuel Udokwu na Tony One Week Muonago wanaendelea kuzungumziwa sio kwa sababu wamejiingiza kwenye siasa, bali kinachozungumziwa ni kitendo cha wao kugombea nafasi hiyo katika jimbo moja kitu  ambacho kimeanza kuvutia hisia za watu wengi.
Actors
Bob Manuel Udokwu (kushoto) na Tony One Week, waigizaji wa Nollywood waliojitosa kugombea katika Jimbo la Anambra.
Bob Manuel Udokwu anagombea kupitia chama cha APGA na Tony One Week Muonagor anagombea kwa tiketi ya ACN katika jimbo moja la Anambra, Nigeria ambapo uchaguzi mkuu wa nchi hiyo unatarajiwa kufanyika katikati ya mwaka 2015, ambapo staa mwingine wa Nollywood ambaye alitangaza kujiingiza kugombea ubunge ni Desmond Elliot.

ANGALIA PICHA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA ARUSHA LEO


Simanzi zimetanda jiji la Arusha baada ya watu zaidi ya 15 kufa katika ajali iliyotokea eneo la Tengeru. Akiongea na mwandishi wetu mmoja ya mashahidi aliyefika eneo la tukio na hospitali ya Mount Meru amesema ajali ilitokea majira ya saa kumi jioni huko maeneo ya Sadec-Darajani -Tengeru iliyohusisha gari la abiria aina ya Hiace linalobeba watu toka Usa-River kwenda Arusha mjini na Lori la mafuta.Aliongeza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa hiace (gari la abiria) iliyokuwa ikijaribu kupita magari mengine ndiyo akakutana uso kwa uso na lori hilo. Habari kamili zitawajia punde.