Sunday, 29 December 2013
TAZAMA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA YOUNG KILLER
Mwanzoni mwa wiki hii zao la Serengeti Fiesta Super Nyota 2012 Young Killer alikua akishoot video ya nyimbo
yake iitwayo Mrs.Super Star,audio ya nyimbo hii imefanywa na Mona Gangstar toka Classic Sound na video inafanywa na Adam Juma toka Next Level.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezwaji wa video hiyo ndani yake walioshirikishwa ni pamoja na mdogo wake Belle 9 anaitwa Bright na Nemo.
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg