Friday, 17 August 2018

MHE. DKT J. P. MAGUFULI ATEMBELEA ABIRIA WA NDEGE YA AIR TANZANIA (DREAMLINNER)

Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishangiliwa na abiria wa ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner ya Air Tanzania (ATCL) kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza asubuhi ya leo Agosti 18, 2018. Amepata nafasi ya kuwasalimu abiria na wamempongeza kwa juhudi zake. 

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg