YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Tuesday 4 August 2015

YALIYOJIRI MLIMANI CITY KUMTANGAZA MGOMBEA URAISIKUTOKA CHADEMA.

ENTS

2X6A9160
Headlines nyingine zilianza kuandikwa Tanzania kwenye Siasa 2015, ambapo July 28 2015 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli alikaribishwa CHADEMA na kupewa Kadi za Uanachama yeye pamoja na mkewe, Mama Regina Lowassa.
Stori baada ya stori zikaendelea kutawala kuanzia hapo, akafika Makao Makuu ya Chama hicho Kinondoni Dar es Salaam kuchukua Fomu na kurudisha pia… August 04 2015 Kikao cha Chama hicho kimefanyika Ukumbi wa Mlimani City DarEdward Ngoyai Lowassaametambulishwa kuwa Mgombea Urais wa umoja wa Vyama vya UKAWA na Juma Duni Haji ndio Mgombea Mwenza.
Hapa ni pichaz ilivyokuwa kuanzia nje mpaka ndani ya Ukumbi.
2X6A9152
2X6A9166
Hii ilikuwa mwanzo kabisa kabla Kikao hakijaanza.
2X6A9153
2X6A9162
2X6A9156
Rapper Prof. Jay ambae anagombea pia Ubunge Jimbo la Mikumi, Morogoro.
2X6A9178
Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Kawe, Halima James Mdee.
2X6A9255
Wabunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Godbless Lema na Joshua Nassari.
2X6A9273
Wabunge David Silinde na David Kafulila.
2X6A9312
Baadhi ya Wanafamilia na ndugu wa Edward Lowassa.
2X6A9326
Maaskofu Zacharia Kakobe na Josephat Gwajima.
2X6A9338
Prof. Mwesiga Baregu (Aliyekaa katikati)
2X6A9341
Mbunge Halima Mdee na Mama Regina Lowassa.
 2X6A9164 2X6A9165 2X6A9170 2X6A9172 2X6A9176 2X6A9183 2X6A9189 2X6A9194 2X6A9202 2X6A9208 2X6A9210 2X6A9214 2X6A9216 2X6A9230 2X6A9233 2X6A9234   2X6A9282 2X6A9289 2X6A9291 2X6A9292 2X6A9294 2X6A9301 2X6A9480 2X6A9492 2X6A9494
2X6A9561 2X6A9555 2X6A9550

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg