YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday 19 September 2012

AIBU TUPU JAMANI!!!!. WAFANYA NGONO HADHARANI KWENYE JUMBA LA KIFAHARI. tunaelekea wapi watanzania wenzangu?


AIBU: WANAWAKE WAFANYA MAPENZI KAMA KUKU NA HUYU NDO MWANAUME ANAYEWAFANYIA HIVYO NDANI YA JUMBA LAKE LA KIFAHARI


Mwanaume anayejulikana kwa jina la Peter Rupia amekuwa  na  tabia  chafu  ya kuwafanyisha mapenzi  wanawake  mithili ya wanyama ndani  ya jumba lake  la  kifahari.......


Chanzo chetu cha habari kimedai kuwa, nyumba  hiyo ya kifahari ipo maeneo ya  Mbezi Beach, ambapo wasichana hualikwa na kunywa pombe baadaye hupigwa picha za utupu.


Mtandao huu  umefanikiwa kupata picha zilizopigwa  ndani  ya jumba hilo na nyingi zinaonesha watu wakifanya mapenzi ama mwanaume na mwanamke au mwanamke na mwanamke.

Baadhi ya picha zilizopigwa katika jumba hilo zinaonesha maadili yasiyofaa kuandikwa , huku baadhi ya wasichana wakiwa na nguo za ndani tu au kufunga mataulo viunoni, matiti yakiwa nje.

Picha hizo, zinaonesha wavulana wakiwa na wasichana ndani ya bwawa la kuogelea huku wengine wakichezewa kimahaba.


Habari  zinadai  kuwa ndani ya jumba hilo sherehe kama hizo zimekuwa zikifanyika mara kwa mara na waalikwa huambiwa kuwa hiyo ni siku ya kula bata.

Aidha, imeelezwa kuwa washiriki wote hasa wanawake kila mmoja hupewa shilingi 100,000 baada ya sherehe na haijulikani   picha hizo chafu hupelekwa wapi baada ya shughuli.


Mpekuzi  wetu aliyefuatilia taarifa hizi alifanikiwa kunasa rundo la picha ambazo ni mbaya zinazowaonesha baadhi ya waalikwa wakisakata dansi wakiwa watupu kama  unavyoona  hapa  chini.










No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg