YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Monday 17 September 2012

MAELEZO KAMILI KUHUSU BIASHARA ANAYOIANZA JAFFARAI.


2
Jaffarai.
Jaffarai Jaffarymz ambae ni mwanafamilia kwenye ukoo wa Bongo Fleva ameongea Exclusive na millardayo.com kuhusu biashara yake mpya na ya kwanza atakayo anza kuifanya soon.
Yuko kwenye dakika za mwisho za kufungua sehemu yake ya kisasa kwa ajili ya kuosha magari (Car Wash)
Kasema hiyo car wash iko Mikocheni Dar es salaam Oil Com mkabala na hospitali ya TMJ ambapo alitumia miezi mitatu kuipata hiyo sehemu ambayo ataifungua rasmi weekend ijayo.
Mtaji alioutumia hauzidi milioni kumi za kitanzania, ni mtaji ambao muziki umechangia asilimia 70 au 80 ya pesa ambazo alianza kuzikusanya kutokana na muziki toka 2003, hiyo ni kutokana na showz pamoja na mauzo ya ringtones na pia show alizofanya Afrika Kusini hivi karibuni zimempa mavuno mazuri.
Namkariri akisema “nilikua nataka kufanya kitu tofauti na wasanii wengine, utasikia flani ana duka, flani ana duka, flani ana duka… nitakua kwenye biashara nzuri, naweza kuhandle biashara ya kuosha magari kwa sababu watu wengi wanaonizunguka wanamagari”

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg