YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Monday 2 February 2015

MWANAMKE ALIYECHINJWA NA MPENZI WAKE MPAKA KUFA -MANZESE FRIEND CORNER [SAMAHANI KWA PICHA HIZI



Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake
mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi
Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake juzi jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio


Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisu bila ya mafanikio.