YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Thursday, 20 September 2012

AIBU: MISS TABATA 2011, "FAIZA ALLY" APIGA PICHA CHAFU NA KUSAMBAZWA MTANDAONI NA MTU WAKE
 MISS  TABATA 2011,    FAIZA ALLY

Kweli sasa naamini ule msemo; "you can remove some people from the bush but you can not remove the bush from their heads" 
 
Ni aibu kubwa  sana Mtu mzima  kuweka picha za nusu utupu  ambazo ni za mpenzi wako  mkiwa mnafanya mapenzi.Unamdorisha nani ambaye unadhani hajui?

 Hii  inatosha  kuonesha ni jinsi gani usivyothamini utu wa huyo mpenzi wako na jinsi usivyowaheshimu wazazi wake  na  ndugu  zake....

Kumbuka jinsi alivyokuthamini na kukubali  kukuvulia nguo zake kama mpenzi wake....Badala  ya kumshukuru, unaamua  kumpiga picha za  nusu utupu na kuzisambaza katika mitandao.Hakika huu ni unyama!!! 

Miss Tabata  2011  amawatia  aibu watanzania  kwa kupiga  picha  chafu na kuzisambaza mtandaoni akiwa na mwanaume  mtu  mzima ambaye  ni sawa  na baba yake mzazi....Mwanaume huyo anayejulikana kwa jina  la  Kali Shaban  ndiye  aliyezisambaza  hizo picha za aibu
 FAIZA  ALLY AKIJIANDAA  KUVUNJA  AMRI YA  SITA...PICHA  ZIMESAMBAZWA NA  MTU WAKE,  KALI.

Picha hizo  chafu zinamuonesha  Miss  tabata 2011   Faza Ally akiwa mtupu huku  sehmu ndogo ya mwili wake ikifichwa kwa chupi yake   isiyo na  thamani
Baadhi ya picha hizo zinawaonesha  wawili hao  wakifanya mapenzi huku wakiwa kama  walivyo

Tukio  hilo la aibu wamelifanya wakiwa nchini Afika kusini kwa kile walichokiita kuwa  walienda  kula good  time.

Tazama  wasivyojiheshimu....JE, MNGEFANYA MAPENZI BILA KUTUONESHA  NYETI  ZENU  NI NANI ANGEWASEMA??

>>>JE, MNGEPIGA HIZO PICHA ZENU NA KUKAA  NAZO NI NANI  ANGEWAFUATILIA???

>>KAMA  KWELI MNAPENDANA, MNADHANI WAZAZI WENU WANA WACHUKULIAJE?

>>>ACHENI  KUTAFUTA UMAARUFU  USIO  NA  HESHIMA  JAMANI

Mambo Unayofanya bwana ALLY  ya kuweka katika net vipicha vya wasichana  wako wakati umri wako unavyoonekana sio less than 65, ni ushamba wa hali ya juu...!

NB: PICHA  NYINGINE HAZINA  MAADILI

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg