YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Monday, 15 October 2012

MAELFU WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA,MAREHEMU LIBERATUS BURLOWMaelefu wajitokeza Jijini  Mwanza katika uwanja wa Nyamagani kuuaga mwili wa aliyekuwa kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza  Marehemu Liberatus  Burlow.
Foleni ya wananchi  Uwanja wa Nyamagana Mwanza.
 Hakika watu ni wengi sana.
 Mwili wa Marehemu Liberatus Burlow
sehemu ya Wananchi waliobahatika  kukaa.
Gari la Polisi likiwa na picha ya Marehemu Liberatus Burlow

Mwili wa Marehemu Liberatus Burlow umesafirishwa hiileo kuelekea Dar es Salaam na kisha nyumbani kwao Moshi ambapo ndipo mazishi yatafanyika, Bukobawadau  blog tunatoa pole kwa Wananchi wote kufuatia msiba huu wa Taifa.!!!

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg