YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Saturday 29 December 2012

Q CHILLAH LIVE INTERVIEW XXL 20.DEC.2012.



"Ni kweli  nilikuwa  natumia madawa lakini nashukuru mungu kuwa leo ni miezi saba  tangu  nimeachana na tabia  ya ulaji bwimbwi, ni vigumu lakini nashukuru kupitia ibada na  ushauri wa watu nimefanikiwa na leo hii ninapata nafasi ya kusimama tena  mbele ya jamii kuomaba radhi kuwa kijana wao  nilipotea  lakini sasa nimerudi kufanya  kile ambacho walikikisa kwa muda mrefu kutoka kwa Chillah" kauli ya  Q…

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg