YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Friday 8 November 2013

WANAFUNZI WAWILI WA CHUO ZA CBE DODOMA WAFARIKI PAPO HAPO KWA AJALI YA PIKI PIKI:



Wanafunzi wawili wa chuo cha biashara CBE Dodoma jana(06/11/2013)  majiria ya jioni walipata ajali ya piki piki maeneo 
ya nje kidogo na mji wa Dodoma ambapo walipoteza uhai papo hapo, kwa mujibu wa ripota wetu chanzo cha ajali hiyo ilikuwa ni mwendo mkali wa chombo hicho cha moto piki piki waliokuwa wamepakizana wanafunzi hao na gafla bila kutegemea walilivaa gari kubwa lililokuwa limaegeshwa pembeni ya bara bara na kusababisha mauti wa wanafunzi hao wawili ambaye ni GEORGE LULANDALA  wa ODPS  pamoja na RAMADHANI LESSO wa  ODMK:
''BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE''

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg