YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Friday, 28 March 2014

MZEE SMALL MUIGIZAJI MAARUFU NA WA MUDA MREFU. CHEKI NYUMBA ANAYOISHI NA KUMILIKI.


a5

Kama umekua karibu na movie za kitanzania hasahasa za vichekesho najua movie za Mzee Small utakua unazijua sana, umri wake ni miaka 59 kwa sasa ambapo alisimama kuigiza toka May 2013 baada ya kuanza kuugua maradhi ambayo yalisababisha kuzushiwa kifo zaidi ya mara tatu.Mzee small alianza kazi ya uigizaji miaka 40 iliyopita akitokea kwao Kilwa.


a6

Mzee Small akiwa na familia yake.


a1

Nyumba yake kwa hapa inaonekana kwa mbali… ipo Tabata Dar es salaam na anaishi na familia yake.


a3

Huo mlango mweusi unaouona ni mlango wa duka lake analouza mahitaji mbalimbali ya nyumbani kama vile sukari, sabuni ,na vyakula.


a2
a4
a7

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg