YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday, 19 March 2014

NYIMBO YA ROMA, KARIBU KWENYE KALAMU YAMLETEA BALAA KWA MZAZI WAKE.


romaaKaribu kwenye kalamu au KKK ni jina la single mpya ya Roma Mkatoliki ambayo ina wiki kadhaa tu tangu itoke ambapo leo imeingia kwenye headline baada ya Roma ku-amplify mbele ya kipaza sauti cha millardayo.comkuhusu KKK.
ttttKama umeisikiliza KKK ni wimbo ambao kidogo una maneno makali pengine ambayo kwa sababu za kimaadili walizizima izo sehemu sasa kuna taarifa ilitoka kuwa mara baada ya mama yake mzazi kuusikia wimbo huo alimnunia kwa siku 4.
Roma ameanza kwa kusema>>’Kweli mwanangu mama alivosikiaga KKK alichukia sana na kuniuliza kwanini nimetukana kwenye wimbo,basi baada ya hapo kila nikimpigia akawa hapokei simu zangu karibu siku 4′.
Roma pia amesema kuwa KKK ndiyo single yake ambayo mpaka sasa inamshangaza kwa aina ya matukio yanayojitokeza ikiwemo ile ya madereva boda boda na Bajaj kuandamana hadi studio ilikotengezwa huo wimbo kuomba kuwekewa kwenye flash na memory card zao kwa ajili ya kusikiliza.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg