YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Tuesday, 8 April 2014

HAWA NDIO WASHIRIKI WA REDS MISS UDOM 2014, TAZAMA BAADHI YA PICHA WAKIFANYA MZOEZI NEW MAISHA CLUB


Hawa ni ndio washiriki wa Reds Miss Udom 2014 watakaochuana Ijumaa hii ya tar 11 /4/ 2014 katika Ukumbi mpya wa Kilimani Landmark
Warembo hawa  watasindikizwa na kisima cha burudani kutoka kwa wana wa Kutwanga na Kupepeta ambapo timu nzima ya Twanga Pepeta itatoa burudani isiyoyakifani kwa kiingilio cha kawaida cha buku kumi (10,000 )malango na VIP Meza moja ya watu 6 ni shilingi laki moja tu(100,000)
Mazoezi ya Mashindano haya yanafanyika New  Maisha Club Chini ya Dj Abou Mkali kwenye Mashine A.K.A Shemeji,
Na pia katika siku ya kesho Jumatano ya Tar 9 April kutakuwa na Mchujo ambapo warembo kumi watachaguliwa kuingia moja kwa moja kwenye Mchuano huo na siku ya Ijumaa watapanda Jukwaa moja na kumpata mshindi atakayeiwakilisha Udom katika Miss Tanzani 2014
USIKOSA KUSHUHUDIA MCHUANO MKALI WAREMBO KUTOKA UDOM IJUMAA HII KTK UKUMBI WA KILIMANI LANDMARK

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg