YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Saturday 3 November 2012

MAGIC FM NA DTV WAFUNIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA LEO KATIKA UZINDUZI WAO KWA UDHAMINI WA WINDHOEK BEER


 Umati mkubwa uliofurika uwanja wa Jamhuri kushuhudia uzinduzi wa Magic Fm na Dtv chini ya udhamini mkubwa wa Windhoek Beer.
 
 

 Maelfu wakifuatilia mtiririko wa Onyesho hili la aina yake mjini Dodoma.
 Anaitwa Bibi Cheka akiwajibika jukwaani, Pembeni ni Msanii Dogo Asley.
Msanii mwenye sauti ya aina yake PNC akifanya yake ndani ya Uwanja wa Jamhuri  mjini Dodoma katika uzinduzi wa Magic FM na DTV .
 VINYWAJI AINA YA WINDHOEK TAYARI KWA KUUZWA TSH 2500 TU!
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizindua rasmi Magic Fm na Dtv Mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg