YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday 16 January 2013

HII NDIO KAZI ILIYO MFANYA BW MISOSI ATULIE KWA MUDA KWENYE GAME YA MUZIKI


1
BWANA MISOSI
Msanii  wa muziki  wa  siku nyingi Joseph Rushahu ‘Bwana Misosi ameitaja sababu ambayo ilimuweka kwa muda  bila kufanya ngoma yeyote amefunguka kupitia amplifaya  kuhusu kazi nyingine anayoifanya akiwa nje ya  muziki .
misosi amesema muda mwingi anapokuwa kimya anakuwa  anafanya  kazi nyinge  ambayo amesomea ya ufundi wa umeme.
Pia misosi ameamplify hatokaa kimya tena kutokana na  muziki kumuweka  sehemu nzuri ikiwa ni pamoja na kumpa heshima.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg