YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Saturday, 28 September 2013

SAKATA ZIMA LA MWANAMKE WA KITANZANIA ALIYEAMUA KUUGEUZA MWILI WAKE KUWA KITEGA UCHUMI HUKO UGHAIBUNI....Ni  mwanamke  anayejulikana  kwa  jina  la  Florah Lymo  ambaye alijipatia  umarufu  mkubwa  baada  ya  kujitokeza  hadharani  na  kudai  kubakwa  na  mbunge  Lema....

Wengi  waliyaamini  madai hayo kutokana  na  ujasili  aliokuwa  nao wakati  akiieleza  dunia  kuhusu  tendo  la  ubakwaji  alilotendewa....

Hakika  jambo  usilolijua  ni  kama  usiku  wa  giza...Amini  usiami, mwanamke  huyu  hakubakwa  .Ujasili  wake ulikuwa  ni  mchezo  wa  kuigiza na  tayari  mtandao  huu  umefanikiwa  kupata  sehemu  ya  mchezo  huo ambao  ni  komedi  tupu.

Baada  ya  mchezo  huo  kukosa  mafanikio  na  hali  ya  maisha  kuwa  ngumu  kifedha, mtandao  huu umedokezwa kuwa   Florah  amejikuta  akiwa  ni mtumwa  wa  mwili  wake ndani  ya  nchi  za  watu....

Utumwa  huo  unadaiwa  kutokana  na  kitendo  cha  yeye  kuugeuza  mwili  wake  kuwa  kitega  uchumi..

Zifuatazo  ni  picha  chafu  za  mwanamke  huyo  ambazo  zimekuwa  zikitundikwa  katika  mtandao  wake  kwa  lengo  la kujiongezea  wateja....

PICHA  YA  KWANZA: <<  BOFYA  HAPA>>

PICHA  YA  PILI:         << BOFYA  HAPA >>

PICHA  YA  TATU:      << BOFYA  HAPA>>

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg