YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Thursday, 23 October 2014

YP AAGWA KWA MACHOZI MENGI!!! WASANII MBALIMBALI AKIWEMO JUMA NATURE WALIMWAGA YAO YA MOYONI!!


Y - P azikwa
Marehemu Yesaya Ambikile Mwakalekamo 'YP' amezikwa hii leo katika makaburi ya Changombe jijini Dar es salaam. Marehemu YP alifariki jana baada ya kuugua kifua na kulazwa katika Hospitali ya Temeke hadi mauti yalipo mkuta. 

YP kabla ya kuhamia katika sanaa ya uimbaji na kuibuka na kundi la wanaume Family alikuwa akifanya sanaa ya maigizo na vichekesho akiwa kundi moja na wasanii, Masanja Mkandamizaji, Mpigapicha maarufu na Blogger Mroki Mroki, Kiwewe, Dokii enzi hizo wakiwa na kundi la Get Well Generation lililokuwa chini ya Dokii na kurusha michezo yake Star Tv

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg