YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Thursday, 7 March 2013

PICHA 6 ZA KWA BABU WA LOLIONDO IKIWEMO NYUMBA ANAYOJENGA NA KIBANDA CHA KUTOLEA DAWA


4
Hiki ndio kibanda ambacho kinatumika kuhifadhi kikombe cha babu na kukigawa kwa wanaotaka kunywa, zamani watu wakiwa wengi vikombe mpaka elfu 17-18 vilikua vinatoka kwa siku ila kwa sasa hawazidi watu 20, nimeongea na kijana anaemsaidia babu kazi.
Hiki ndio kibanda ambacho kinatumika kuhifadhi kikombe cha babu na kukigawa kwa wanaotaka kunywa, zamani watu wakiwa wengi vikombe mpaka elfu 17-18 vilikua vinatoka kwa siku ila kwa sasa hawazidi watu 20, nimeongea na kijana anaemsaidia babu kazi jana jioni.
.
.
Mtaani kwa Babu wa Loliondo.
Mtaani kwa Babu wa Loliondo.
Hii ndio nyumba nyingine anayoijenga Babu wa Loliondo pembeni ya nyumba anayoishi, alikanusha kuhusu kujenga majumba ya kifahari akasema hii ndio nyumba pekee anayoijenga na ndio nyumba ya pili kuijenga toka ameanza kutoa kikombe.
Hii ndio nyumba nyingine anayoijenga Babu wa Loliondo pembeni ya nyumba anayoishi, alikanusha kuhusu kujenga majumba ya kifahari akasema hii ndio nyumba pekee anayoijenga na ndio nyumba ya pili kuijenga toka ameanza kutoa kikombe, ni ya vyumba vitatu na ni maalum kwa ajili ya Wafanyakazi wake wanaomsaidia kwa ajili ya tukio kubwa alilolitangaza linakuja karibuni.
Kwa mbali inaonekana nyumba anayoishi kwa sasa.
Kwa mbali inaonekana nyumba anayoishi kwa sasa.
.
.
.
Babu wa Loliondo na Millard Ayo January 2013, kwa picha zaidi wakati wote na stori mbalimbali… ungana nami kwenye instagram.com/millardayo facebook.com/millardayo na twitter.com/millardayo

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg