YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday 3 April 2013

BREAKING NEWZZZZZZZZZZZ~ HALI NI MBAYA HUKO TUNDUMA....MABOMU KILA MAHALI NA WATU WAMEAMRIWA WASITOKE NJE


Wednesday, April 3, 2013



Masaa takribani matano mabomu ya machozi na risasi za moto zinasikika mataili yamechomwa barabarani maduka yote yamefungwa...
Ni mshikemshike kati ya vyombo vya dola na raia hadi sasa msikiti mmoja umechomwa moto maeneo ya mwaka na kisimani 
Hali ni mbaya zaidi kwan mabomu ya mochozi yanapigwa hadi vyumbani. 
Imetollewa amri watu wote walale majumbani kwao
Chanzo cha tatizo ni waislam na wakristo.Wametofautiana juu ya swala la kuchinja.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg