YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday, 19 November 2014

HUYU NDYE BINTI ALIYESABABISHA KIFO CHA MASHAKA! MFANYABIASHARA MKUBWA ALIYEFARIKI NDANI YA GARI LAKE HUKO BUKOBA!Inasikitisha sana kifo cha huyu bwana Leonard Mtensa kilichotokea ndani ya gari lake, mpenzi wake anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi. Hapa chini ni picha ya huyo dada na picha ya marehemu.
 
Jackline Hassan mwenye umri wa miaka 25 aliyekuwa na marehemu.
Huyu ndiye marehemu bwana Leonard Mtensa aliyekutwa na mauti ndani ya gari lake aina ya IST akiwa na mpenzi wake!

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg