YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Thursday, 8 November 2012

NANI KUMCHUKUA MWANAMWALI? NI IJUMAA HII SASA!!

MILLIONI 50 ZITAENDA KWA NANI IJUMAA HII: FAINALI ZA EBSS NDANI YA DIAMOND JUBILEE


 godrey kato akiimba wiki hii mbele ya majaji.
Fainali za EBSS kufanyika ijumaa hii tarehe 9 ndani ya Diamond Jubilee
TICKETS ZINAPATIKANA:

1. SHEAR ILLUSIONS – MLIMANI CITY
2. BIGGY RESPECT- KARIAKOO
3. STEERS- MJINI (CITY CENTRE) 
4. ZIZZOU FASHION (VICTORIA & SINZA)
5. PHOTOPOINT- MAYFAIR PLAZA
6. ROBY ONE FASHIONS (KINONDONI)
7. BEST BITE
8. SAMAKI SAMAKI- MBEZI
9. DIAMOND JUBILEE HALL

Godfrey Kato na Husna Nassor wakiwa katika jukwaa pamoja katika performance ya husna.
Bei za Ticket: VVIP (Tsh 70,000/=), VIP (Tsh 30,000/=), Kawaida (Tsh 10,000/=) - Kufanya booking piga namba: +255 778 952 795
 
Fans wa ukurasa wa EBSS kwenye Facebook wanaweza kujishindia ticket mbili kila mmoja kwa kujibu maswali yatakayoulizwa katika ukurasa huo.
 
 Nsami nkwabi akicheza na kuimba.
Wanamuziki wafuatao watakuwepo kuwapa burudani siku ya Fainali za EBSS.
1. RICH MAVOKO2. OMI DIMPLES3. BEN POL4. LINA5. AMINI6. MZEE YUSUF7. HAJI RAMADHAN8. MWASITI9. DITTO10. LAILA RASHID11. LINEX12. BARNABA
 
 
 Nshoma akipiga ngoma huku akiimba na kucheza.
Salma yusuf akiingia katika jukwaa
 Wababa mtuka akifungukaa.
 
 Walter chilambo akiimba mbele ya majaji na wageni waalikwa.
Nshoma baada ya kuambiwa kaingia top five

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg