YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday 28 July 2013

HASHEEM THABEET AIBUKIA NDANI YA BONGO STAR SEARCH




Mtanzania pekee anayeiwakilisha Tanzania kwenye ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani maarufu kama NBA, Hasheem Thabeet. Hivi karibuni alijunga na majaji wa Bongo Star Search kwa lengo la kuwapa moyo vijana ambao wanajaribu kuonyesha vipaji vyao kwenye shindano hili. Hasheem Thabeet ni moja ya vijana ambao wamefanikiwa kutumia vema vipaji vyao na kuwa mfano mzuri kwa vijana wengine kufanya juhudi kwenye talent zao.
1014055_583040755079983_1736572220_n
Jaji mkuu wa BSS Rita Paulsen aliandika kupitia ukurasa wake wa facebook kwamba, “Rafiki yangu Hasheem Thabeet alikuja kuwapa moyo na kuonyesha support yake kwa vijana wanaofanya usaili. Namshukuru sana kwa mchango wake”.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg