YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday 28 July 2013

KUTANA NA MAMA WA KIPEKEE NUSRA MAGULUKO, MWANAMAMA ANAYEMILIKI USUKANI DAR-MBEYA.


Ni dereva wa bus la Ndenjela Coach anakung'uta route ya Dar Mbeya anajiamini sana akiwa barabarani abiria mnakuwa hamna wasi wasi, Kitonga anashusha na speed ile ile inayo takiwa ananikosha sana kwenye kona za Iyovi analala nalo speed 120 na anafika Dar kwa wakati. Wadada mjitokeze kwa wingi si kila ajira ni kwa ajili ya kina Baba au mnasubili mkiwezeshwa? 
Yupo mwingine anakung'uta bus la Shabiby Dar Dom nae yupo vizuri.
 

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg