YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday, 28 July 2013

PART II YA PICHA ZA UTUPU ZA MISS UTALII TANZANIA.NUSRA AJIUE KWA SUMU FAMILIA YAKE YAMTENGA,RAIS WA MISS UTALII TZ AMKALIA KOONI !

 Fathiya Khalfani akiwa jukwaani siku ya shindano la kumtafuta mrembo wa taifa "Miss Utalii Taifa" iliyofanyika mwanzoni mwa mwaka huu Mkoani Tanga.
Rais wa Miss Utalii Tanzania Gideon Chipungahelo" Dad"


Hatimae yametimia zile picha chafu zilizonaswa kwa mara ya kwanza  kisha kusambaa kwenye mitandao mingine sasa zimeonekana kuwa shubiri kufuatia kumtokea puani mrembo Fathiya Khalufan " Mrembo wa Facebook"  kiasi cha kudaiwa kutaka kujiua ili asionekane tena duniani kwa aibu anayoipita.

Baada y wiki moja kupita tangu blog hii kushushiwa cd nzima ya picha za mrembo huyo wa Facebook ambae pia anashikilia taji la ubalozi wa Hotel zote za kitalii Tanzania na kuzirusha kwenye mtandaoni hali imekuwa mbaya kwenye familia ya mrembo huyo.

Habari za uhakika zilizoshuka kwenye ofisi za blog hii toka ndani ya familia hiyo zilisema kuwa Fathiya kwa sasa familia imemtenga kabisa" Jamani muhurumieni ndugu yetu hali ni mbaya hakuna maelewano kabisa kati ya baba mzazi wake pamoja na babaake kwani aibu iliyopo hailezeki msitoe tena kwani mrembo wa facebook mwenyewe amechanganyiwa hajuia la kufanya kanisa" Alisema ndugu huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake.

Aidha ndugu huyo aliendelea kusema kuwa" Juzi kati kataka kujiua kwa aibu baada ya familia yake kumsema sana na kumtamkia wazi wazi kuwa itamtenga ndipo alipotishia kunywa sumu lakini hata hivyo dada mkubwa wake alimchukuwa na kumbembeleza" Kilisema chanzo hicho.

Hata hivyo chanzo hicho pia kilisema kuwa tangu kuapia kwa habari hizo Rais wa Miss Utalii Tanzania nae amemkalia kooni mrembo huyo" Chipungahelo nae ambae ndiye boss wake amehitaji maelezo ya msingi kuhusu picha hizo la sivyo atamfungulia mashtaka kisha atanyang'anywa taji hilo" Alisema dada huyo

Mrembo huyo ambae ametamba sana kwenye filamu ya Mrembo wa facebook na huku kwenye mashindano ya Umiss kitaifa akishikilia taji la Ubalozi wa Hotel zote za kitalii Tanzania.

 bado tunamsaka kwa udi na uvumba rais wa Miss Utalii Taifa Gedion Chipungahelo "Dad" Ili kuelezea hatua watakazozichukuwa kama wao ungozi ili kukomesha tabia hii mbaya kwa warembo wengine ili heshima ya urembo nchini iweze kuaminiwa na wananchi ambapo kwa sasa wengi wao wamepiga marufuku watoto wao kushiriki mashindano mbalimbali ya umiss kwa madai kuwa ni uhuni kwa matukio kama haya.
KUANGALIA PART I YA PICHA ZAKE ZA UTUPU >>BOFYA HAPA<<
CREDIT:XDJAYZ

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg