YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday, 8 December 2013

HARUSI YA ABDALLAH NASSORO NA MWAMVUA ABDUL YAFANA JIJINI MWANZA.


ABDALLAH NASSORO MARA TU BAADA YA NDOA KUFUNGWA

MAANDALIZI YA KUFUNGA NDOA YAKIENDELEA

TARATIBU ZA UFUNGAJI WA NDOA NAZO ZIKIENDELEA

DULLAH AKIWA NA MKEWE MWAMVUA MARA TU BAADA YA KUFUNGA NDOA

DULLAH NA MKEWE MWAMVUA BAADA YA KUA WASHAFUNGA NDOA.

DULLAH AKIWA NA SHEMEJI ZAKE MARA TU BAADA YA KUFUNGA NDOA

BLOGGER CALVIN KUSHOTO, DULLAH KATIKATI NA MR. LAMONT KULIA PAMOJA NA BI MWAMVUA ABDUL AMBEYE NDIO MKE WA DULLAH .

BLOGGER AKICHUKUA PICHA YA UKUMBUSHO NA MAARUSI WETU

DULLAH NA MKEWE PAMOJA NA MR. GEORGE NGUO KULIA AMBAYE NAYE ALIKUA SEHEMU YA WALIOFIKA KATIKA HARUSI HII.

DULLAH NA FAMILIA YAKE MARA BAADA YA HARUSI

FURAHAYA ABDALLAH ILIKUA HAINA MFANO MARA TU BAADAYA KUA KASHACHUKUA JIKO

ABDALLAH AKITOKA KATIKA ENEO LA TUKIO BAADA YA NDOA

HUYU NAYE ALIKUWEPO KATIKA KUHAKIKISHA HARUSI INAFANIKIWA

BI MWAMVUA ABDUL KATIKA PICHA


DULLAH NA MKEWE MWAMVUA

SIKUA NYUMA KATIKA SWALA ZIMA LA PICHA

NIKIWA NA SHEMEJI BI MWAMVUA KATIKA KUCHUKUA PICHA

AMA KWELI BI MWAMVUA ALIPENDEZA KWELI

SHUKRANI PIA ZIWAFIKIE WOTE WALIOFANIKISHA JAMBO HILI KUBWA LA KUUNGANISHWA KWA HAWA WATU KUWA MKE NA MUME, SHUKRANI ZIWAFIKIE BWANA AMBERKISYE KIZUNGA PIA NA BWANA JACKO JAPO WALIKUA MBALI NA CAMERA LAKINI UWEPO WAO ULIFANIKISHA JAMBO HILI. BA. ECONOMICS ALUMNI 2012 WAKO PAMOJA NA WEWE NAWANAKUTAKIA MAISHA MEMA YA NDOA KAKA. @calvin obeld sahini.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg