YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday, 11 December 2013

HUYU NDIYE MGANGA WA KIENYEJI ALIYEFUMANIWA NA MKE WA MTU GUEST , AJITETEA KUWA MIZIMU ILIMTUMA KUFANYA HIVYO ILI MTEJA WAKE APONE!Mganga wa Kienyeji kushoto  aliyefahamika kwa jina la Dokta Mohamed Simba  “King Lion” akilazimishwa kumshika mkono begani mke wa mtu aitwae 
Shamila Hawazi Mponda mara baada ya kufumaniwa

 Wananchi mbalimbali wakiwa nje ya Guest ya Best iliyopo Ubungo Maziwa wakishuhudia fumanizi hilo...!!!

 

Watuhumiwa wakipakizwa kwenye Deffender ya Polisi  kuelekea kituo cha Polisi Magomeni.
Na Shumba Msitu wa Xdeejayz.
Mganga mmoja maarufu wa kienyeji hivi karibuni alifumaniwa na mke wa mtu  Guest maeneo ya Ubungo Maziwa pamoja na kuambulia kichapo cha aina yake.
Tukio hilo la aina yake pia lilishuhudiwa na mamia ya wananchi maeno hayo huku mapaparazi Xdeejayz wakichukua picha za kutosha ili..............HABARI ZAIDI NDANI GAZETI LA MASKANI BONGO.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg