YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Tuesday, 25 February 2014

HILI NDIO TIMBWILI LILILOTOKEA ASUBUHI YA LEO DODOMA MAENEO YA MAKOLE KARIBIA NA BUNGE:Timbwili lililotokea leo asubuh Maeneo ya Makole karibia na Bunge kati ya wajasiriamali wa wadogo wadogo na seriakli ambapo walitinga askari wa polisi FFU wakiwa wamejazana eneo hilo na baada ya muda mchache lilitinga gari maalumu kwa ajili ya bomoa bomoa  na kuanza kuvunja vibanda vilivyokuwepo maeneo haya ya bunge,
baadhi ya wajasiria mali hao walikuwa wakilalamikia serekali kwa kuwapatia vibali feki vya kufanya biashara maeneo hayo na mwisho wa siku kuja kuwafunjia bila kuwapa taarifa,

akilalamika mama moja kuwa amegharamikia kutengeneza banda lake kwa gharama kubwa na tena kwa fedha za mkopo bila hata kurudisha faida, hakika ungefanikiwa kumwona ungemsikitikia na machozi kukutoka wapo wengine waliozimia katika maeneo yao na kukimbizwa hospitala, baada tukio hilo baadhi wafanya biashara hao wadogo waliandamana moja kwa moja kwenda kwa mkuu wa mkoa.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg