YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday 27 August 2014

TAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA PARTY ILIYOANDALIWA NA DIVA WA CLOUDS FM PALE MAISHA CLUB



  

Juzi ndani ya Club Maisha dar es salaam, kulikua na Party kubwa iliyoandaliwa na Mtangazaji wa Kituo cha Clouds Fm Ala za Roho, Party hii ilihudhuriwa na wajanja wengi wa Town na burudani ilitolewa na Rapper Chidi Benz ambaye kwa muda mrefu hajaonekana kwenye Majukwaa na sasa hivi anai promote Ngoma yake mpya Mpaka Kuchwee aliyo washirikisha Diamond na Ambwene Yesaya (A.Y) Chidi alipokelewa na vizuri na mashabiki waliohudhuria usiku huo, wengine walioperform ni Bob Junior Sharobaro mwenye nyota ya chips Mayai, Kassim Mganga kutoka Manza Bay Tanga, Shilolole Kiuno pamoja na Mpenzi wake Nuh Mziwanda wao ndio walifunga kazi  kabisa kwa kula denda on stage, Godzilla pia aliperform pamoja na Wadananda, Party hii iliisha mida ya saa kumi na moja alfajiri.















No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg