YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Monday 6 August 2018

KUSAMBAA KWA VIDEO YA NYOKA AKIMLA NJIWA GUMZO KILA KONA

Python eating a pigeon

Haki miliki ya picha
Image captionVideo ya nyoka akimla njiwa London yasambazwa sana mitandaoni
Nyoka amerekodiwa akimla njiwa kwenye barabara yenye shughuli nyingi mashariki kwa London.
Dave Fawbert alimuona nyoka huyo huko Leytonstone, mapema Jumamosi.
Shirika linaloshughulika na wanyama RSPCA limemchukua nyoka huyo na linaomba habari kuhusu ni kwa njia gani alipata kufika eneo hilo.
Python eating a pigeonHaki miliki ya picha
Image captionVideo ya nyoka akimla njiwa London yasambazwa sana mitandaoni
Bw Fawbert alisema kwa asilimia 100 nyoka alikuwa akimla njiwa huyo na kwamba tayari alikuwa amemla nusu.
Anasema alitaka kumuona nyoka akiwa safarini nchini Tanzania miaka michache iliyopita lakini hakufanikiwa, lakini sasa amemuona. alisema.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg