YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Tuesday, 28 August 2012

ALIYEKUFA MOROGORO KWA KUPIGWA......NA ASKARI


Huyu ni mwananchi aliyeuawa na polisi kufuatia maandamano ya amani ya CHADEMA jana...Mbaya zaidi alikuwa ni muuza magazeti ambaye hakujihusisha hata na maandamano. Wengine watatu wamejeruhiwa kwa risasi......mi sio CHADEMA na wala sio mshabiki wa chama chochote ila naamini kuna siku mambo yatabadilika.....huu ni uhai umepotea.....serekali ingetambua kwamba ni bora wangekua wanawaacha hawa CHADEMA wafanye tu mikutano yao ya amani ila kwakuwazuia ndo wanazidi kuwafanya wagain popularity na wawe na unity kama iliyopo arusha na Mwanza!!!

#ni mtizamo tu no offence#

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg