YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday, 10 March 2013

HILI NDIO JUMBA LA OFISI MPYA YA MTANGAZAJI JANET TALAWA, PRODUCTION HOUSE YA SHOW ZAKE ZA TV.

0
Huyu ni sehemu ya Team ya Janet.
Huyu ni sehemu ya Team ya Janet.
Mtangazaji Janet Talawa ni mmoja kati ya mahodari kwenye kitabu cha wasoma habari wa TV Tanzania, wengi tulianza kumuona kupitia ITV lakini kwa sasa ni mtangazaji wa kujitegemea ambae anaanda show na kuipeleka kwenye TV.
Show yake ya Ongea na Janet inayouzika kupitia CLOUDS TV imetimiza mwaka mmoja march 8 2013, ni show ambayo alifikia kukata tamaa lakini hakukubali kushindwa.
Sasa hivi hiyo show ambayo inaonekana kwenye nchi nane za Africa zikiwemo Uganda, Kenya na Burundi kupitia Africa Magic Swahili ya DSTV.
Upande mwingine wa jumba la production.
Upande mwingine wa jumba la production ambalo litakua linarekodi show za Janet pamoja na nyingine za nje, series pamoja na kazi nyingine mbalimbali.
Jumba lenyewe la production.
Jumba lenyewe la production.
.
.
Team kamili.
Team kamili.
Hawa ndio watangazaji wapya wawili kwenye vipindi viwili vipya vilivyozaliwa baada ya mafanikio ya Ongea na Janet, wa kwanza kushoto ni mtangazaji Nasri Amani na Ritha Chuwalo wa WAPO RADIO ambae atakua mtangazaji kwenye show ya pili.

Moja kati ya Camera za kisasa zinazomilikiwa na kutumika kwenye hii production house.
Moja kati ya Camera za kisasa zinazomilikiwa na kutumika kwenye hii production house.
.
Baada ya mwaka mmoja wa kazi ngumu, sasa hivi show ya Ongea na Janet imedhaminiwa na Airtel.
.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg