YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday, 10 March 2013

MILIPUKO MINGINE TENA NIGERIA.


0
.
Milipuko ya mabomu Nigeria bado inaendelea, huko Maiduguri zikiwa hazijapita hata saa 24 toka Rais Goodluck Jonathan aondoke eneo hilo alilohudhuria, imetokea milipuko saba ambayo imepishana kwa dakika chache, bado mpaka sasa haijafahamika idadi ya waliojeruhiwa wala kuuwawa.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg