YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday 9 June 2013

JK AENDA KUMFARIJI MALKIA WA MIPASHO ( KHADIJA KOPA ) BAADA YA KUFIWA NA MUMEWE





Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.

Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM, Hadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita 

Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi na (kulia) ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa CCM, Ridhwani Kikwete.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg