YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday, 20 August 2014

SOMA ALICHOSEMA DIAMOND PLATINUMZ KUHUSU CHID BENZ
Picha pamoja na ujumbe wa Diamond Platinumz

Baada ya CHID BENZ kufanya ngoma kwa kushirikina na Diamond pamoja na AY hatimaye jana katika ukurasa wa Instargram Diamod aliandika ''Mimi na wewe wote ni viumbe na ndiomaana wakati mwingine tunatereza na kukosea.... lakini naamini tukiweza kusameheana tukapendana na kushirikiana basi umoja wetu utaleta nguvu na maendeleo makubwa katika tasnia yetu.... Tafadhari let's support our brother@chidibeenz na mkono wake huu mpya #MpakaKuchee ...download ngoma kwa kubonyeza link iliyo kwa BIO yangu hapo juu, kisha uniambie ni line gani iliyokukosha zaidi....''


Kila mtu ana maoni yake kuhusiana na ujumbe huo, je wewe unahisi ni kwanini Diamond aliamua kuandika hivyo?

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg