YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Sunday, 17 August 2014

HAYA NDIO MAANDALIZI YA FIESTA KAHAMA LEO.

3khmMzunguko huu umeanzia Mwanza kisha Ijumaa ya Aug 15 ikawa ni kwa ndugu zetu wa Bukoba,kwa sasa ni Kahama ambao nao kama ilivyokuwa kwa Mwanza na Bukoba nao watauonja utamu huu wa Serengeti Fiesta kwenye msimu wa mafanikio.
Bukoba na Kahama ndiyo mara ya kwanza kuuonja utamu huu,ambao umekua na mahudhurio makubwa ya wapenda burudani wa mikoa hii,Jukwaa limekwisha kamilika ikiwa ni pamoja na sound check kinachosubiriwa ni magheti kuwa wazi.
Muonekano wa uwanja wa Kahama kwa sasa.
4khm
5khm
6khm
7khm
9khm
10khm
11khm
12khm
14khm
17khm
19khm

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg