YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Thursday, 29 May 2014

KILA SIKU KUNAZUKA JAMBO JIPYA, SASA LEO NI HUYU PAKA ALIYEFUNJA REKODI BAADA YA WIMBO WA TAIFA KUPIGWA ...TAZAMA VIDEO ALICHOKIFANYA

Screen Shot 2014-05-29 at 9.49.45 AMNi kawaida, kwa heshima ya wimbo wa taifa kila raia wa nchi husika husimama au kutii taratibu zote za utulivu kila wimbo wa taifa unapopigwa.
Sasa kwenye hii ya leo ni kuhusu Paka mmoja huko Urusi ambae aliamua kufata taratibu hizo za binadamu kwa kusimama sekunde chache tu baada ya kusikia wimbo huo ukipigwa kutoka kwenye simu ya mwenye nyumba.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg