YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Thursday 29 May 2014

KWA HILI ALIOLIFANYA RAY C LEO MTAANI AKIWA NA MATEJA..... DAA...NIMEPENDA SANA MIE TAZAMA PICHA HAPA


Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kuskia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa......Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.......Ray C Foundation Pamoja inawezekana...

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg