YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Thursday 29 May 2014

WALIVYOJIPANGA WA BRAZIL KUKABILIANA NA MADAWA YA KULEVYWA KIPINDI CHA KOMBE LA DUNIA.


vitaHivi sasa kazi ya jeshi nchini Brazil sio kwa ajili ya vita tu, bali pia linajiandaa katika mapambano makali dhidi ya wasambazaji pamoja na wauzaji wa dawa za kulevya wanaowalenga mashabiki watakohudhuria michuanoya kombe la dunia.
vitani2
Kutokana na nchi hiyo hivi sasa kujiandaa kupokea wageni wengi ambapo takribani wageni laki sita wakiwemo elfu 10 kutoka nchini Uingereza wakiwa ni miongoni mwa walengwa wa biashara hiyo na wauzaji wa dawa za kulevya aina ya Cocaine.
Zaidi ya vikosi vya kijeshi elfu 30, wanamaji pamoja na vikosi vya angani vinafanya doria katika nchi hiyo katika kina cha urefu wa Maili elfu 10 na 500 kutoka usawa wa bahari kukabiliana na dawa za kulevya.
Ungependa stori kama hizi zisikupite? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza >>> Twitter Instagram facebook na kupata pichaz, video, stori na mengine yote ya hii dunia

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg