Wanachuo
wa chuo cha saut tawi la mtwara leo wameandamana mpaka kwa mkuu wa
mkoa wa Mtwara kutaka ufumbuzi juu ya mikopo yao kama wanachuo kutoka
kwenye bodi ya mikopo.Madai yao kwa sasa ni miezi 4 hawajalipwa ndipo wakaamua kuandamana maandamano ambayo hayakuwa rasmi hivyo jeshi la polisi mkoa wa mtwara likaingilia kati na kuzima maandamano hayo yaliyoanza mchana majira ya saa 8 mpaka saa 1o.




No comments:
Post a Comment
gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg