YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Thursday, 16 August 2012

BONGO MOVIES KUWASHITAKI MAHARAMIA WA KAZI ZAO
Aliyekuwa mshereheshaji wa mkutano huyo, muigizaji Susan Lewis ‘Natasha’.
Rais wa shirikisho la wasanii wa filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba  akihutubia.
‘Comedian’ Zimwi (mwenye fulana ya njano) akimsikiliza Mwakifamba.…

MBIO ZA MBUZI ZA HISANI DAR ES SALAAM 2012

Posted by GLOBAL on August 16, 2012 at 10:30am
MBIO ZA MBUZI ZA HISANI DAR ES SALAAM 2012 (2012 DAR ES SALAAM CHARITY GOAT RACES)
‘Mbuzi Mmoja tu Anaweza Kuleta Mabadiliko’                                                                                        Agosti 15, 2012
Matayarisho ya mwisho ya Mashindano ya 12 ya Mbio za Hisani za Mbuzi yatakayofanyika Septemba 1 mwaka huu jijini Dar es Salaam yanaendelea.
Tukio hilo la kifamilia linalofanyika kila mwaka tayari limeshafanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi milioni 544 (zaidi ya dola 345,000) kutoka kwa karibu makundi 50 ya wahisani wa ndani tangu lilipoanza mwaka 2001. (Tazama maelezo chini kwa mbio za mwaka huu.)

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg