YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday, 25 June 2014

baada ya umeme kukatika jana, hivi ndivyo ilivyokuwa bungeni

SIMU ZILIVYOTUMIKA JANA BUNGENI DODOMA BAADA YA UMEME KUZIMA


Sakata la umeme kukatika nchi nzima kwa mikoa inayohudumiwa na GRIDI ya Taifa! Wabunge wakisoma kwa kutumia mwanga wa tochi za simu ndani ya Bunge jana mara baada ya umeme kuzima katika ukumbi huo wakati walipokuwa wakipiga kura kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg