YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Saturday, 28 June 2014

MISS DODOMA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YA DHAHABU NA MH ANTONY MAVUNDE:Afisa mtendaji Mkuu wa shirikisho la Vyama Vya wachimbaji Madini Tanzania(FEMATA) Ndugu Mh; Antony Peter Mavunde (wa pili kushoto); akiwa na mwandaaji ya Tamasha Miss Dodoma Mama Kiwaya (wa kwanza kulia) pamoja na dada Dora (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Dhahabu Miss Dodoma Adelaida Barbnaba,Ikiwa sehemu ya udhamini wa Shirikisho hilo katika shindano la Miss Dodoma 2014

Miss Dodoma 2014 Adelaida Barbnaba akifurahia baada ya kukabidhiwa zawadi ya Dhahabu na Mh Antony Mavunde

Mh antony Mavunde akiwa na Miss Dodoma Adeleida barnaba

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg