YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Wednesday 25 June 2014

RAIS KIKWETE APEWA TUZO YA UONGOZI BORA NCHINI


 Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali Bwana Ludovick Utouh akikmabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum kwa kutambua mchango wange kwa taasisi simamizi katika kuimarisha Uwazi,Uadilifu na
uwajibikaji wakati wa hafla maalum ya chakula cha jioni iliyofanyika katika ukumbi wa  wa kimataifa wa  mikutano Julius
Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam jana jioni.

Bwana Utouh alikabidhi Tuzo hiyo kwa niaba ya taasisi  sita ambazo niBodi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi,TAKUKURU,,Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma,Mamlaka ya udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya jamii,Mkaguzi wa ndani Mkuu wa Serikali,na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa umma (picha na FreddyMaro).

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg