YOUR MOST FAVORITE BLOG.

YOUR MOST FAVORITE  BLOG.
Calvin

Friday 27 June 2014

BREAKING NEWS: MAXIMO ATUA DAR .. SASA KUIFUNDISHA YANGA


Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.

Polisi akidumisha ulinzi wakati wa mapokezi ya Maximo.

Mashabiki wa Yanga wakipozi na kocha wao mpya.
Kocha Marcio Maximo ametua jijini Dar muda mfupi uliopita kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa kuanza kuifundisha timu ya Yanga. 
Maximo amepokelewa kwa shangwe katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na mashabiki wa Yanga.

No comments:

Post a Comment

gfjythfghgfhdfgergdfgbvdfgrfdgdfrgdrgdfrgrdegedrgdrfg